jifunze kumfundisha mtoto uhalisia wa mambo aelewe kwamba pamoja na kwamba wewe ni mzazi wake sio kila kitu unaweza kumtekelezea.angekuomba umpeleke kwa osama pia ungekuja kutuuliza jinsi ya kumfikisha huko?
Anataka kumtembelea raith Kikwete sio kupewa jezi ya yanga. Pia nisingependa kumwambia haiwezekani kabla sijajaribu kutafuta njia ya kumkutanisha na huyo. Kwa mzazi atanielewa namaanisha nini kama ambavyo Kiranga kanielewa.
punguza ndoto mzazi. Mwanao akianza kukuendesha kungali mapema hivi kazi unayo. Au mmeambiwa kikwete ni uchochoro? Mchukulieni wa kawaida tu kwani kuna majiniaz zaidi ya huyo na kwa umri huo
huyo binti kwenye picha ukimwangalia vizuri ana uzuri wa asili she is very beatiful angekuwa mjini watu wangemtolea macho sema tu huko bush anakoishi ndio kuna mlostisha kwenda na wakati na kumsababishia awe baunsa lakini ni mzuri kwa kweli kama Odemba
Kama mzazi inabidi ujue ni maobi gani ya mwanao inabidi umfanyie vinginevyo mtoto atakushinda ikiwa kila mara inabidi ukimbilie Jamii kuja kuomba ushauri, lakini kama unaona umuhimu wa kufanya hili mwambie mwanao Kikwete si mali kitu bali Dr Slaa ndiye mkombozi wa Watanzania, hivyo upange na CHADEMA ili akamuone mkombozi.