Mwanangu makelele kitandani sio sifa pekee ya mke bora

Tatizo makelele mengine yako kama kinanda cha Parokia. Hayashuki wala hayapandi kama mlio wa bomu acheni wizi
 
Kuibiana tu mapenzi yaliishia bustani ya Edeni miaka ileeee Yesu hajazaliwa...
 
Ila yale makelele mbona huwa yanakuja naturally jamani..halafu mwanamke akiwa na hofu ya Mungu ina maana ndo akii-feel dyudyu ndo asitoe nung'uniko za kimahaba?! Hebu acheni maneno yenu nyie mibaba...mbona hata nyie kuna baadhi yenu wakati wa kupiz mnapiga mikelele eti 'eeeehh ahhhh shhhhhh' kwa sauti ya base..mwe!
 
Makelele ya kutaka pesa tu hayo.
 
Mwenye hofu ya MUNGU anazini?
 
 
Tatizo makelele mengine yako kama kinanda cha Parokia. Hayashuki wala hayapandi kama mlio wa bomu acheni wizi
yanakuwaje hayo makelele labda nitajifunza hapa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
nahisi baba mwenye nyumba hajui mambo ndio maana anaona wale wote aliokutana nao hawapigi kelele wana hofu ya mungu kumbe hawajaridhishwa
utamu ukizid haaa mbona walopoka tu mengi [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
yanakuwaje hayo makelele labda nitajifunza hapa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kelele za raha zinaendana na mapigo ya moyo zinajulikana sasa hizi kavu kama umeosha koo na jik
 
Hivi mtu akiwa na hofu ya mungu hafeel ile dyu dyu au???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…