Habari wana Jamii forum
Yani ubinadamu ni kazi. Ule usemi mwanangu kua uyaone sikuwa nauelewa. Sasa ninauelewa sawia. Dunia ina mamboo. Kwanini mtu anaweza mchukia binadamu mwenzake bila sababu?. Kwanini Mtu anafurahia matatizo ya mwingine?. Naomba mnisaidie kuna watu wamenikwaza nashindwa kuwasamehe. Na ningependa nianze mwaka mpya bila kinyongo moyoni mwangu. Aksanteni.