Mwanangu King'asti kwa kubadili badili line....!

Mwanangu King'asti kwa kubadili badili line....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Black-woman-Smart-phone.jpg


Mwanangu King'asti ni wiki sasa mimi na umbu lako tunakutafuta kwenye simu lakini kila tukipiga tunajibiwa eti unabadili badili line, kwani hujui kwamba moja yatosha...!

Angalia kubadilibadili kwako line kukakuletea matatizo katika unyumba wako mkwe akakurudisha wakati mie nishajilia mahari yangu, unajua utaniletea matatizo na kuniuwa kwa presha, ohooooo....!!!

Nishakwambia moja yatosha, hebu nipigie basi kabla sijahonga huu mchina wangu kwa wachezea sharubu wa humu JF....LOL
 
Mwambie moja yatosha, hasa ile tiGO mie ndo huwa napenda kuitumia nikiwa nae kabla Paw hajaanza mchezo wake wa kunilimalima ban..
 
Last edited by a moderator:
Mwambie moja yatosha, hasa ile tiGO mie ndo huwa napenda kuitumia nikiwa nae kabla Paw hajaanza mchezo wake wa kunilimalima ban..

Kwa hiyo ina maana huwa anapendele tiGo mda mwingi...
Basi Mtambuzi aanze kupenda tiGO ili ampate
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo ina maana huwa anapendele tiGo mda mwingi...
Basi Mtambuzi aanze kupenda tiGO ili ampate
Mkuu tedo hebu rekebisha kiswahili hapo, unamaanisha kupenda au kupiga....?
 
Last edited by a moderator:
Duh we mzee hilo toto uliphotoa kwa mbegu zako mwenyewe au??
Maana . . . mmmh masha'allah!!
 
Mzee vipi tena? Mbona ishu ya kifamilia waitoa pabliki ?
This sister she's my adopted sister already!
I swear ! Mzee! Kama alikua hajakujuza , basi leo jua!
Sasa Baba huoni tutafukuza hodi za wawekezaji ?
 
aaah mzee why tunaanikana jamvini namna hii,siku nisipolala home jf watajua sijalala home jirekebishe ooooooh
 
aaah mzee why tunaanikana jamvini namna hii,siku nisipolala home jf watajua sijalala home jirekebishe ooooooh

Na ndiyo maana ma'sister hajatia maguu kwenye huu uzi , wa tangu sa4 usubui!
Sijui nae kaumwaga kule bondeni walipoenda akina Raila kuangalia mifugopori?
 
Na ndiyo maana ma'sister hajatia maguu kwenye huu uzi , wa tangu sa4 usubui!
Sijui nae kaumwaga kule bondeni walipoenda akina Raila kuangalia mifugopori?

physically wamening'iniana weeee palikuwa hapatoshi ukizingatia ndo firstborn uwanja ulikuwa hautoshi wakaamua kukodi uwanja wa taifa,shabiki alikuwa ngina,mie referee,mama ngina mshika kibendera IMAGINE.
 
Back
Top Bottom