Mwanangu Kim Jong Un

Pia Huyo dogo amesoma Sweeden na mashushu awakujua Kama ni mtoto WARaisi wakorea kaskazini. Mpaka baba yake alipofariki Ndio kupewa uraisi Ndio roommate wake akajua Kuwa jamaaa ni mtoto WA mkubwa Ndio dunia ikajua
Hatari sana.
 
Sio sweden mwanangu acha ndimu ni Uswisi pande zile za mageneva geneva nini
 
Uchambuzi mujarabu kabisa.
 
Wewe mpambe ila juzi alilia mbele ya wananchi wake yapo yaliyopelekea yy kutoa machozi
 
Ni hasira kuona mkiendekeza upuuzi atailipua dunia mara moja [emoji16][emoji16]
 
[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…