Mkuu umenena hawa viumbe ni waajabu sanaMwanamke anapenda kile mwanaume asicho nacho.Kitu ambacho haijawahi tokea mwanaume awenavyo vyote!
>Ukiwa smart na wiseman atatamani kama ungekua Badboy!
>Ukiwa na mali ata tamani ungetumia mda mwingi nae kama wasio na kazi wafanyavyo!
>ukiwa mwanaume wa kweli atatamani ungekua model
>Ukiolewa na mwanaume mwenye pesa miaka mi nne shavu likamtoka utasikia saivi siangalii pesa ila mapenzi ya kweli...pumbavu kabisa !
Mwanaume fanya unavyo viweza ila usitegemee kumlidhisha mwanamke !