ukweli ni kwamba Mwananchi Insurance company haifanyi biashara kwa sasa. kuna mambo mpaka wayaweke sawa ndio warudi kwenye operation, kama wasipoweka sawa nadhani kampuni itafilisiwa. kwa kifupi Mwananchi Insurance Company is not Active. it is illegal to write new business. kwa hyo ukikata bima hapo ukipata loss sijui utaanzia wapi kudai mkuu.