Nadhani tatizo liko kwenye aina ya habari. Watu hawako tayari Kupoteza pesa zao kwa kusoma habari za kanisa kwenye main stream media. Yaani Msema kweli liandike mapambio kusifu na kiabudu, halafu mwananchi nalo hayo hayo!!?
Ina survive ila kwa mbinde Sana. Mfano kupitia hapa JF tunapata habari za moto moto tu, WhatsApp tunasambaziana habari za moto moto tu, Nani atasubiri mpaka kesho aje anunue Gazeti lenye habari za leo?