Mwananchi Imevamiwa

Mwananchi Imevamiwa

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
Mwananchi ImevamiwaNdugu wateja na wasomaji wetu tunaomba rNdugu wateja na wasomaji wetu tunaomba radhi website yetu haitakuwepo hewani kwa muda kidogo. Kifupi tumevamiwa na 'hackers' wabaya tunashughulikia tatizo, muda si mrefu tutarudi hewaniadhi website yetu haitakuwepo hewani kwa muda kidogo. Kifupi tumevamiwa na 'hackers' wabaya tunashughulikia tatizo, muda si mrefu tutarudi hewani. Kusoma Click
Ndugu wateja na wasomaji wetu tunaomba radhi website yetu haitakuwa hewani kwa muda kidogo.Kifupi tumevamiwa na 'hackers' wabaya tunashughulikia tatizo,muda si mrefu tutakuwa hewani



Jamani nimekuta habari hii kwenye web ya mwananchi newspaper kulikoni? Hii inatokana na nini?
 
Last edited:
Hao 'Hackers' wasije kuwa na Ari Mpya na nguvu mpya
 
Lakini kuna link pale mwihoni uki-click inakupeleka kwenye page
 
Back
Top Bottom