Yaani nimecheka kidogo nitapikeKama kambuni
Ndo wa kuitwa nani huyu?!Yaani nimecheka kidogo nitapike
Au nimekosea?!Haaaaaaaaaaaaaaaaaa lol
Haaaaaaa umenichekeshaaaa
Hujakosea jina ulilompa na shape yake vinafanana kabisaaaaaNdo wa kuitwa nani huyu?!
Au nimekosea?!
Du hata hako jamaa yangu,utadhani vile vikalagosi vya kuchonga kwa miti?Utashangaa hao vijana wa Mabibo hostel wakikatokea..
Huyo nae ndio kajiajiri.Sijui tunaelekea wapi!