Adele ni moja kati ya wanamuziki wanaonibamba sana nikisikia nyimbo zake huwa zinavuta hisia..
ukianza na Someone like you, Rollin in the deep, Skyfall etc
Alikuwa kimya kitambo lakini sasa hivi ametoka na Hello..imesha hit views almost 90m ndani ya siku tano kwenye you tube.Album yake mpya inatoka November cnt wait....
https://www.youtube.com/watch?v=YQHsXMglC9A
Adele naye ajifunze kusahau bado anamwimbia mchizi tu.
Amejifunza kusamehe na s kusahau
Halafu hii Hello inaonekana Adele ndiyo alizingua, na inaonekana wazi jamaa kashasahau na kuendelea na life, sasa haka ka Adele katulie tu.