Usemi huu, una ukweli usiopingika, na hii ni kutokana na uhalisia wa kimatokeo yatokanayo na nini kinatokea pindi watu hawa wa jinsi mbili tofauti (yaani; me na ke) wakutanapo.
Kwa asili, mwanaume udhaifu wake huwa upo kwa kuangalia, pindi tu mwanaume anapomwona mwanamke hasa ikiwa maumbile yake hayajafunikwa sawasawa, yaani mapaja nje , matiti, au kavaa nguo inayo onesha umbile lake lilivyo, wakati mwingine hata ongea ya huyo mwanamke, sauti yake, au mwonekano wake wakati wa maongezi, ni vitu mbalimbali huweza kumshawishi mwanaume akaamsha hisia zake za kutamani kufanya ngono na huyo mwanamke.
Mazingira hayo huwafanya baadhi ya wanaume kupata shida sanaaa.... Hata kushindwa kujizuia, ananza kuangalia ni kwa jinsi gani atampata huyo mwanamke ili atimize tamaa zake.
Upande wa pili sasa, yaani wa mwanamke, yeye hatishwi na kuona wala kusikia, ni wachache sanaaa wanaoweza kupata hisia kwa njia hizo, wengi wao hawana mpango na vitu hivyo,, na ndiyo maana mwanamke kama hana ukaribu na mwanaume, anaweza akaishi zake miaka hana mpango na mambo hayo ya kujamiiana.
sasa hebu nisikilizeee... Kwa makini; udhaifu wa mwanamke uliopitiliza ule wa mwanaume, unatokea tu pale mwanamke anaporuhusu mwili wake kuguswaguswa na mwanaume. Ni wakati ambao mwanamke anakuwa hakutegemea wala kupanga, hisia zake huamka na kuwa kali zaidi japo kiwango kinatofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine. Kuamka kwa hisia zake za kujamiiana, zinamfanya kuwa nje ya uwezo wa ufahamu wake, automatically atajikuta kulegea na kushindwa kujizuia, na kumwachia mwanaume kufanya lolote atakalo, atashangaa baadaye kuona kuwa mambo yamekwisha kufanyika.
Na ndiyo maana hata wakati wa kujamiiana, mwanaume anaweza akawa na control ya kile anachokifanya, lakini mwanamke anaweza akawa hawezi kufanya lolote zaidi ya kujisikia raha na kulegea zaidi. Na hiki ndicho chanzo cha wanawake wengi kujikuta, wamefanya tendo bila kutumia kinga, au kujikuta ghafla anafanyiwa kinyume cha maumbile,
Wanawake wengi wanajikuta, wamefanya tendo la kujamiiana hata na wanaume ambao hawa kuwataka na hata kupata mimba zisizotarajiwa kwa sababu ya udhaifu wao huo.
Na ndiyo maana wanaume wanafahamu udhaifu huo wa wanawake, utakuta mtu anamsogelea mwanamke anaongea naye huku anamshikashika kumbe kuna kitu anachomtengenezea huyo mwanamke na mwisho wake huwa mbaya kwa mwanamke
Mara nyingi nimekuwa nawauliza wale wadada waliozaa bila kutegemea, ilikuwaje?? Ataniambia yaani hata sikujielewa kilichotokea, nilishangaa nimefanya na huyo kaka wakati siku panga kabisa, nikimdadisi saaana, atasema tu waliongeaaa.... Kisha wakaanza kugongo mikono, baadaya akaanzwa kupapaswa papaswa baada ya hapo haelewielewi nini kiliendelea, alikuta mwisho mambo yamekuwa tu.
Tahadhari kwa akina dada;
Hapo zamani wasichana walikaa mbali na kuwaogopa sana wavulana, hata siku ya harusi msichana alikuwa hataki kukaribiana na bwana harusi, bado ana ule woga, matron alikuwa na kazi kubwa ya kumrudisha bibi harusi kwa bwana harusi. Wasichana walionywa kuwa wasiwasogelee wavulana au wanaume hovyo hovyo, nao walitii.
Lakini siku hizi, kuwakuta wasichana wako na wanaume wanatembea njiani wameshikana mkono, ni kitu cha kawaida saaana! Unakuta wanafunzi wanatembea msichana kashikana mikono na mvulana kana kwamba ni kitu cha kawaida tu. Mazoea hayo yanawafanya wakiwa sehemu ya siri lazima yule mvulana atamshikashika tu huyu msichana na kuamsha hisia za ngono kisha watajikuta wamefanya ngono. Kwa sababu ni vigumu sanaaa kwa msichana kukataa wakati alishalegezwa.
hivyo nawasihi na kuwaonya sana, wasichana, acheni kuwazoea wavulana au wanaume hovyo, kwa sababu wao siku zote macho yao yanawaangalia kwa kuwatamani mfanye nao ngono, hivyo hutengeneza mazingira ya kuwavuta kwao kwa kujifanya ni marafiki wema, mwisho anakukaribishia kwenye mazingira ya private, na kuanza kukushikashika sehemu mbalimbali za mwili wako, ukichoka tu hutaweza kujizuia chochote. Na kujikuta umefanya ngono naye.
Hii siyo hadithi ni kitu halisi, naamini wanawake wengi ni mashahidi wa hili, hebu wewe unayesoma kumbuka siku umejikuta umejamiiana na yule mwanaume, ilikuwaje? Nadhani mazingira yako yanalingana na haya. Kisha ukajikuta ndoto zako zimeingia doa, na nichanzo cha huyo mtoto uliyenaye, au huo ugonjwa wa zinaa ulionao.
Wazazi/walezi na jamii nzima, tuwaponye wasichana kwa kuwapa elimu, hii. Wajiweke mbali na wanaume, ikiwa lazima wasiwe wawili tu katika mazingira hatarishi, na tukemee tabia ya kushikanashikana, maana hii ni tamaa ya mfuga ng'ombe kutaka maziwa ya ng'ombe kwa kujifanya anamkuna ng'ombe.
Wasichana waambieni wanaume, usiniguseee sogea mbali namiii, wala msiwafuate huko magetoni mwao.
Wanawake mlioolewa, acheni ukaribu na mazoea na wanaume wasio waume zenu, waambieni kaa mbali nami usinigusee, guswa na mume wako tuuuuu!
Mtafuteni mungu atawasaidia kuyashinda hayo.
BASI NASEMA, ENENDENI KWA ROHO, WALA HAMTAWEZA KAMWE KUTIMIZA TAMAA ZA MWILI .
WAGALATIA 5:16