McKobas Aok
Member
- Jun 25, 2016
- 15
- 1
Mwanaume kusema "poyee"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume kusema "poyee"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muosha rungu 99% ya akili yake inawaza kupigana miti tu, anazurura Jf kutema shit tu, Interview badala ahoji vitu vya maana anahoji kudinyana tu.
Mwanaume mzima anajibu "nyooooo" acheni hizo6. Ni ajabu mwanaume kwa mwanaume kuchati eti wanaume mnachati zaidi ya sms 100 wanaume wa kweli ukiona wanatumiana sms ujue ni kwa ajili kupeana taarifa muhimu tu
7. Ni ajabu mwanaume kujibu "p" na "k" kwenye sms au "lol" na kujibu vimajibu vya mkatomkato
8. Mwanaume wa kweli epuka kutamka hivi "waooh" au "jamanii"
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu mods wanawalea sana angekula BAN ya miezi akae atulie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jf inalea ujinga kweli watu kama hao ni wa kufunzwa adabu
Kweli kabisa mkuu hawa ndo huja kuwa mashogaAfu mods wanawalea sana angekula BAN ya miezi akae atulie.
Yahh nimeona kwenye netMwezi wa 11 inatoka 5.
Usikute choko maswali ya kipuuzi eti unamuuliza mwanamama 'hogo au kibamia' izi ni dalili za kutojiamini.