Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,541
Mara sijui ukila chips unakuwa huna nguvu za kutosha,mara sijui usipokula dona hutakuwa na nguvu za kutosha...kazi kudanganyana tu.Kijana unakuwa mzembe mzembe halafu unasingizia vyakula......kazi ambayo inafanywa ili kuweka heshima ya uanamme,unaparaza paraza tu then unaanza kulalamika.
hata nikila chips miezi kumi,napiga tu,tena napiga...
mwendo ni ule uleeeee....usawa wa kuliaaaaa....mbeleeeee te...
NB:kwa wale ambao ni wagonjwa...uzi huu hauwahusu
hata nikila chips miezi kumi,napiga tu,tena napiga...
mwendo ni ule uleeeee....usawa wa kuliaaaaa....mbeleeeee te...
NB:kwa wale ambao ni wagonjwa...uzi huu hauwahusu