Mwanamme kulia lia nguvu za kiume

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Mara sijui ukila chips unakuwa huna nguvu za kutosha,mara sijui usipokula dona hutakuwa na nguvu za kutosha...kazi kudanganyana tu.Kijana unakuwa mzembe mzembe halafu unasingizia vyakula......kazi ambayo inafanywa ili kuweka heshima ya uanamme,unaparaza paraza tu then unaanza kulalamika.

hata nikila chips miezi kumi,napiga tu,tena napiga...

mwendo ni ule uleeeee....usawa wa kuliaaaaa....mbeleeeee te...

NB:kwa wale ambao ni wagonjwa...uzi huu hauwahusu
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
34,220
2,000
Unahalalisha kula chipsi tu.
Huku hizo chipsi ni mboga tunakula na ugali.

Uvivu na uzembe uzembe unachangia kwa kiasi kikubwa kulia lia kuhusu nguvu za kiume ukimchua ukamkimbiza round moja kiwanja cha mpira wa miguu kesho mtu atembei hapa si jipu tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom