Mwanamke ...


^^
Aisee!
^^
 
Huyo mwanamke mwerevu ni house wife, na anapendwa sana na mumewe. Huyo mwingine ni mfanyakazi possible engineer ambaye mumewe ni mlevi na hana mapenzi na mkewe. So mdada ametoka kazini possible site kukoromewa na magufuli, au bosi wake (kumbuka hiyo fani imetawaliwa na mfumo dume), kuja nyumbani badala ya kukuta an understanding husband anakutana na insecure nagging excuse of a man. So anakuja kachoka roho na mwili anakuta mbaba kajilaza kwenye sofa akisubiri avuliwe viatu na soksi.
Tukirudi kwenye development, mume badala ya kujenga yeye ni kuweka heshima bar; kwanini mmama asijenge kisirisiri?
Cc: Kisima
 
Last edited by a moderator:

kama ulikuwa akilini mwangu. Well said
 
Sema wewe kiazi!.....
 
Last edited by a moderator:
Nategemea na yanayohusu mwanaume yapo njiani.Wanaume uwa mnazani umu duniani akitoka Mungu mnafata nyie.Jaribuni kubalance mzani kila cku ufuliwe wewe uwezi kusema ata
cku moja leo nipo home nifue nguo za watoto na mke wangu.Maana ya msaidizi inakuja pale tu unapoelemewa, na sio kumgeuza msaidizi muhusika Mkuu.Ndo Maana tukachomolewa ktk ubavu wala si kwenye visigino mtukanyage.Watendeeni wake zenu yale mnayopenda kutendewa.
 
Thank you! Na kwa hela ipi wanayowatunzia wake zao? ptuuuuuuuuu..... uvuliwe soksi umekuja na dollars au unarudi na jasho na madeni?

Teheeee hata mimi ndo nashanga Cyan! Baby I loveeee youuuu nyiiingi ataka avuliwe na soksi mfukoni ana buku mbili! Heheheeeee wenyewe wanasema "kantangazeeeee..."!
 
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)

Jamani hapa kazi kweli kweli nao inabidi wampende sio yeye tu maana na ndugu wa mume huwa wanajifanya kuwa the top sana hadi kwenye hakuna....
 

Maana ya msaidizi ni kwamba anamsaidia mfanyaji Mkuu! Mume apike mke amsaidie kuosha vyombo, mume afue mke amsaidie kuanika, mume alete unga wa ugali mke alete kitunguu na nyanya!
Siyo mume kukaa kama mnyapara wa gereza la Ukonga
 
umejiandaaje kutokumchosha huyo mwanamke mwerevu, mwenzio kule analia mwanamke kaskia ana mchepuko kaacha kuchangia kapuni, mnapenda raha mpewe nyie tu
 

hahaha MFYUUUUUUUUU
 
Wanaume wa kiafrika wabinafsi jamani....sijapata ona. Hivi huyo atakuwa ni mke ama roboti!!??
Katika hali ya kawaida hilo ni ngumu.
Na mwanaume wa aina hii hana mapenzi na mkewe hata. Ukimpenda mtu sidhani kama utataka kumwona anaumia, manake hizo mleta mada amezimention hapo si kazi bali ni kupeana maumivu.
Sasa unafanyiwa yote hayo wewe ni toy????
Kujazana ujinga tu mkiwa huko bar...
 

Mahaba niue, oooh mume wangu kipenzi I can do anything for u
 
BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"
 
Mapenzi ni ya pande zote, nani hapendi kufanyiwa mnavyotaka kufanyiwa? Wote ni binadamu na tunahitaji kupendwa na kusaidiwa inapobidi, its not about bossing around just because you are a man, kama ndo ivyo basi weka msaidizi wa nyumbani na si umtegemee mke akufanyie vyote hivyo wakati huo huo ametoka kazini kama wewe bado ana watoto wadogo wa kuangalia, uje kitandani utake pia huduma, kweli? Acheni ubinafsi wa kupenda kufanyiwa nyie tu wafikirieni na wake zenu na muwajali pia. Baada ya kumfanyisha kazi hizo bado utalalamika oh mwanamke kachakaa hajipendi bora nichepuke lakini unasahau hana huo mda wa kujifikiria yeye anakufikiria wewe tu, sio fair kabisa kwenye ndoa tuwe " we" na sio "I".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…