Mwanamke wangu ni kikojozi

Mwanamke wangu ni kikojozi

Habar wakuu. .
Nina mwanamke Wang ambae nimedumu nae takriban miez 10 Japo changamoto ni nyingi sana lakini nimeendelea kumpenda nikiamini atabadilika .

Kwa mala ya Kwanza niliigundua tabia yake ya kujikojolea kitandan
Nilipo amka na kukuta mikojo kumuuliza nkajibiwa BAHAT MBAYA. ..

kwa sasa tabia hii imekua kubwa imefikia Wakat.. Ameanza kuunganisha haja (mikojo pamoja na maaaav) nilipo mbana sana akanambia ukwel kua X wake alikua anampiga 0713 ndio maana anapo jikojolea anashindwa kujizuia kuny*****a

Huyo mwamke bado sijamuoa .. Ushaul wenu jaman.nikomae nae atapona au nimkimbie mapema

NB":kwangu huwa anakuja na kulala mala moja moja .bado sijaanza kuish nae lasmi

HAKUNA PICHA YA KUSHADIDIA UZI?
 
Una ujasiri mkuu yaani unaweka mambo yako siri adhalani?
 
Mmh. Hii ngumu kumeza.
Nikajua ushamuoa,kama sasa hivi anapiga na mavi kabisa anaendelea hiyo michezo
 
mkuu wacha nyumbani kwako alione paa..mambo mengine yanatisha...ila kama unampenda kwa dhati ya moyo wako mnunulie diapers awe akijifunga kama vile mtoto mchanga
 
Sijui huwa kuna uhusiano gani wa new member Na madam tata kama hizi!
Anyway ngoja waje wakushauri

Hata nami huwa nashangaa hawa new member mana nyuzi wanazozianzisha mara nyingi ni kichefuchefu
 
Hee pia anakunya kitandani.....


Kama anakunya kitandani basi POA.
 
Mtafutie dawa kama unampenda na umedhamiria awe mke wako
sasa bidada hiyo dawa ya kumtibu "Marinda" yaliyokwisha tatuliwa ataitoa wapi huyu mtoa mada jamani...?? 🙄
 
tiba zipo mkuu waone wataalamu wakusaidie zaidi,
 
Mmmh mafurushi tena hapo tchaaa muache akaendeleze halichachi yake huyo.
 
Back
Top Bottom