Mwanamke wangu kila akimaliza "mshindo" wa kwanza anadai amechoka

Mangulason

Member
Oct 31, 2019
77
77
Wadau naombeni ushauri, niko na mwanamke wangu kwa muda mrefu ila tukiwa katika mchezo mwenzangu akimaliza tu haja zake anasema amechoka anataka tupumzke na kwa upande wangu nakuwa bado sjiamaliza haja zangu.

Naombeni ushauri, nifanye nini
 
95% ya wanawake ni wavivu kwenye ngono.

Na hata hao 5% wengine unakuta wanajituma tu kurudhisha wanaume zao.

Kwenye hiyo 5% wale wanaopenda sana ngono hua ni kwa muda mfupi, yaani anaweza kua anapenda sana kwa siku 2 au 3 au wiki ila ukimpeleka mpela mpela mwezi au wiki 2 mfululizo anakataa.

Nimewahi kua na wanawake wengi wanajisifu wanapenda ngono ila ukikaa nae siku kadhaa anaanza kukataa mwenyewe. Unamuuliza mbona uliniambia unapenda sana sex muda wote unawaza sex anasema hapana hii yako imezidi.

Lakini pia ngono sio kitu wanawake wanakifikiria sana kwenye maisha yao kama sisi wanaume.
 
Back
Top Bottom