Nimekumbuka ule mchezo jamaa wa kishua anampenda demu wa uswazi (Shamsa Ford), familia ya mwanamme inapambana kumbadilisha tabia mwanamke aendane na wao, kumbe jamaa kampenda demu kwa mambo yake ya uswazi...kwa ufupi mwisho anamuoa na kumbwaga mchumba wake wa ushuani.