Demu wa Uswahilini na wa Ushuani wote akili zao zinafanana wanatofautiana utanashati/personality.
_Huyu atavaa wigi la afutatu huyu atavaa Brazilian air
-Huyu atavaa dera huyu atavaa LV
-Huyu atapaka mkorogo wa afusaba huyu wa laki 5
-Huyu atatumiwa afusita ya nauli huyu atafatwa na gari au atalipiwa Uber.
-Huyu atagongewa guest za afumbili huyu atagongewa hotelini
Wadada wa uswazi siku ya sherehe au shuguli wao wanavyoziita hutaamini walivyovaa mavitu ya gharama. Mawigi, viatu pochi n.k. na anaishi chumba kimoja tena cha giza. Hapo ndiyo utajua kuna miujiza!!!