Niolewe mara ngapi? Alaf acha kukariri, kitendo cha kukutana kutiana ni ndoa tayari baina ya watu wawili ambayo haijakusanya mashahidi. So, hapo ndio ujue nina ndoa au sina. Tafuta hela acha makasiriko waoaji wapo kibao, ukitaka hata wewe unaolewa hata kama una sura ngumu