Mwanamke hapigwi makofi anapigwa na
sheria za jeshi unazijua???hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
Unaelewa maana ya 'suspended'?hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
Samahani hivi mtu akiwa suspended maana yake ni amefukuzwa ??hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
HapanaSamahani hivi mtu akiwa suspended maana yake ni amefukuzwa ??
stopped for short period, to force someone to leave his/her job or positionSamahani hivi mtu akiwa suspended maana yake ni amefukuzwa ??
stopped for short time
Asanteni wakuu ndio maana nikamuuliza mkuu hapo yeye kasema kafukuzwa wakati habari inasema kawa suspendedHapana
Linapokuja swala la lugha ya malkia mambo kama hayo kutokea ni kawaidaAsanteni wakuu ndio maana nikamuuliza mkuu hapo yeye kasema kafukuzwa wakati habari inasema kawa suspended
Koffi olomide diseaseningekuwa Mme wake angekula makofi mazito heeee, yaani angesimulia
Afande hana kosa....kosa la huyo kishikwambiAsamehewe tu huyo afande
NdioAfande hana kosa....kosa la huyo kishikwambi
Ndo taratbu zenyewMmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao