fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,609
- 7,169
Ni kule kwenye ile wilaya ya mkonze,ni miaka mingi sana imepita,kipindi hicho nipo kidato cha kwanza.Nikakutana na huyu mrembo,alikuwa kapanga nyumba moja jirani sana na kwetu,alikuwa akiishi na shemeji yake.Alikuwa mrembo sana kwa sura na umbo.Alikuwa kamaliza la saba,toto la kinyamwezi,rangi maji ya kunde.Nilitupa ndoa o nikakubaliwa,akatoroka kwao akaja room kwangu mida ya saa 12 jioni,nikala mzigo,dah alikuwa mtamu balaa,kila kitu chake kilikuwa kizuri,simi,trako,nyapu mashallah,nilienjoy sana.Nilimtoa mida ya saa 3 usiku,ikawa sasa kila baada ya siku 2 nakula mzigo na hatimae dada yake alihisi japo hakuniuliza kitu chochote.
Sasa,alipomaliza la saba,hakufaulu na shemeji yake akamtafutia kibarua ofisi ya halmashauri.Mimi japo nilikuwa nasoma lakini pesa nilikuwa nazo hivyo nilikuwa namgharimia,nguo,viatu,cosmetics na alikuwa anafurahi sana.
Eee sasa bwana mabosi kule halmashauri si wakamuona,bosi mmoja akamchukua akampangia nyumba na kumgeuza mkewe japo hakumuoa lakini alimgharimia kila kitu,mimi nikapigwa chini,ikawa namuona tu kwa mbali akinawiri.Siku moja alikuja kwa dada yake,aisee kapendeza,trako limejaa,kawa mweupe,mini nilikuwa hapo akanisalimia,nikaitika tu vizuri,akaingia kwa dada yake,alipotoka nikamfuata tuongee,nikamuuliza mpenzi vipi? akanijibu kwa upole tu kwamba,yeye kishapata mtu mwenye uwezo na amemtuliza hivyo nichukue hamsini zangu,fah nilitoa machozi huku huyo demu amuondoka zake,yaani aliniliza mwezi mzima.Baada ya mwezi huyo aliyeniibia naye akaibiwa na bosi mkubwa mmoja ambae alimuoa kwa ndoa kabisa.Mie nilibaki kulialia tu.Wakahama hapo mkonze na kwa sasa huyo dada ni mama mtu mzima,yupo dar akiishi na wanawe maana mmewe alikuja kufariki,huwa tunakutana na kukumbushana na huwa ananiuliza hivi ulikuwa unalilia nini wakati ule?
Nabaki kucheka tu,na ndiye aliyenifungulia vilio vya kulilia wanawake,dah nyapu acha tu