Mwanamke wa kuzaa naye

Mwanamke wa kuzaa naye

Joined
Jun 29, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Dini mkristo, umri kati ya 21 na 29, elimu angalau kidato cha nne zaidi ya hapo ni vizuri zaidi awe mwelewa. Mimi Nina miaka 34, mtumishi serikalini pia mjasiliamali nimeoa. Alie tayari tuwasiliane
 
Umeoa, unataka mtu wa kuzaa naye ili iweje? Mkeo hazai? Na huyo mwanamke akizaa mtoto utamchukua au utampeleka kwa mkeo?
 
Kuna watu mnahatar!
Sema natafuta mke wa pili! !
Ukizaa naye halafu?
 
Huna mtoto wa kike uzae nae?maana huyo utampata kirahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom