mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Tanga tupo makabila mengi mkuu.
Asisikilize maneno, mazuri na mapungufu ya mwenzie ni yeye ndo anayajua....
Evelyn Salt nadhani unaelewa kabisa kuwa wakati wa uchumba huwa tunapigwa upofu kwenye kuona mapungufu..kwahiyo, experience/ ushauri wa wazee usipuuzwe..wazeewetu wameona mengi
Unamaanisha nini, mbona kama unataka kujibagua au kuulizwa swali. usiwe msaliti
Asioe Tanga, naunga mkono hoja
usiolewe na wabondei wa muheza itakula kwako
usiolewe na wabondei wa muheza itakula kwako
Tanga nzima