Mwanamke wa kimasai

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Bandugu habari ya mutwekati? Bana abajambo? Kilebe sene kasunu sinkombwa mundu bandu mpapa mpapa mwee! Leo nimeamua kufungua kilichopo ndani ya mtima wangu. Nimiaka mingi tangu nilipo pata wazo hili nalo silingine bali ni kumuoa Mwana mke wa kimasai kwa gharama zozote. Ikibidi hata kuingia msituni kupambana na Simba ili tu nimuoe Mwanamke wa kimasai. Mimi ni mtu wa Pwani utamaduni wetu ni kilimo na Uvuvi kwetu hatujui kufuga naikiwa kufuga huwa tunafuga Kuku pamoja na Bata. Lakini hilo asijali kwakuwa mimi ndie mwenye shida nipo tayari kufuata mila zote za kwao (Ufugaji na Uwindaji) ikibidi hata jeans nitaweka pembeni nakuanza kuvaa Mashuka pia kutoboa masikio. (ispokua kuvaa shanga kiunoni) Tafadhali kama yupo Mwanamke wa kimasai humu ndani basi ajue mimi nampenda (haijalishi) ikibidi ani PM. Sichagui Elimu wala Umri ninacho taka ni kuoa Mwanamke wa kimasai tu.
 
Kwa nini usiende Chuga, itakua rahisi kuwapata huko....
 
dah!
Kwa jinsi ulivyorahisisha 'sifa na vigezo' ili mradi tu mhusika awe ni demu wa kimasai basi naanza kuamini labda unatekeleza masharti ya mganga wako. Kwa hako humpati ng'oooo!

Jibebane huko huko na wakwere wenzako, hapana chezea ndito weweee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…