Kuna vitu tunaviweka kispiritual zaidi tunasahau uhalisia, we are human beings FCS!!
Yaani you will be pretending to be happy with yo own husband while yo not seriously!!!!
Hebu tutafute mzizi wa mke kutokumtii mumewe kabla hatujaanza kudeal na matokeo ya tatizo badala ya chanzo cha tatizo. Hivi kweli kabisa kuna mwanamke deep down anaamua tu eti asimtii mume alomchagua mwenyewe na kuamua kuishi nae for the rest of her life!!!!!