Daaah! Tatizo lipo tena kuubwa sana, cha kufanya muachishe kazi halafu na wewe acha kazi, mtapata muda mwingi wa kushinda nyumbani mkitazamana!
tatizo lipo mwachishe haraka
Wadau nishaurini je mimi nafanya kazi mbali demu wangu anafanya benki mbali pia je kuna madhara yeyote?
samahani wajameni...namuuliza uyo jamaa demu wake anafanya kazi benki gani na anaitwa nani?
mkuu apo auna wala mchumba, kumbuka mtu unae karibu bado watu wanamega kama kawaida. mfano; mi nilikuwa totozi like you, tulipeana adi za dhati kufunga ndoa naye, kutoka fm3 alipo fika chuo 2yr SUA, akaona yeye ni bola zaidi akasema kampata mwingine uko SUA, so mimi nitafute mwengine. mi iliniuma sana kwa kunipotezea time na malengo langu for 6yrs. ushauli wangu: kama anakupenda mwambie aombe transfer aje uko unapo fanyia kazi
Hakuna madhara yoyote endapo nyote mtaendelea kuwasiliana na kupeana mapenzi moto moto kama zamani na pia bila kusahau kuzidisha uaminifu katika penzi lenu.
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
zaa nayeWadau nishaurini je mimi nafanya kazi mbali demu wangu anafanya benki mbali pia je kuna madhara yeyote?
Unamiliki mwanamke bank na wewe nae ni mtumishi afu unauliza swali kama hili kweli?mbona kama kiwango chako cha kufikiri ni cha kijijini na si kijiji chenye hata daladala la kwenda mjini na kurudi per siku.hii ni akili ya kijiji kisicho na network hata mojaWadau nishaurini je mimi nafanya kazi mbali demu wangu anafanya benki mbali pia je kuna madhara yeyote?