Mwanamke unatakiwa uwe na Viwango

Mwanamke unatakiwa uwe na Viwango

Ndg yang, mbona katumia lugha nzuri , watu wazima wanaelewa tena katumia lugha ya kificho.
Anyway huku nilipita tu.. Ngoja narudi kule kwangu...


[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bora hao wa dela huku Nairobi co mchana,wala ucku unakuta mpo wote ndan lkn n mwendo wa trosa na sket kwa kwenda mbele

Kuish na wife mkenya yataka moyo
 
Haya siaina ya mawaidha yanayofaa kutolewa hadharani tena na mwanaume!

Haya mawaidha yanatakiwa kutolewa na waalimu wanawake tena wakiwa wenyewe wanawake peke Yao!!
 
Back
Top Bottom