Mwanamke thamani yake ni nini hasa

kwa kuwa umekataa kunitafutia cielo au Nicole poa tu!
 
Last edited by a moderator:
shosti yake dada mkubwa iko hiv!
mwanamke ana thamani ile iliyopo ndani yake!the inner value ya mtu haiko katika vitu!
nini kina thamani kwa mtu hiyo ni mada nyingine!
lakini hebu niulize kitu,
hivi mwanamke kuwa na mahusiano ndo manake hana thamani?
hivi nikisema nathamini gari,nyumba na pesa manake sijathamini kitu sahihi?
thamani yangu na ninavyothamini ni kitu kimoja?
 

Inakuwaje wewe kama mwanamke unahusisha utu/thamani ya mwanamke na material things?

Sasa wanaume sisi tutaonaje?
 
Bado likizo yaendelea, maana akili imetulia sana na critical analysis imekaa vyema.

Thamani ya mtu ipo ndani ya mtu. Na jinsi watu walivyo tofauti hata ndivyo wanavyojithamini tofauti pia.

Lkn kuthamini material things sio shida kama haihuthishi utu wa muhusika au mtu mwingine. Mf: kama kuthamini kwangu pesa hakumpuguzii mtu (me included) utu wake then sioni kama ni shida. I mean if my persue for money, sikanyagi vichwa vya wengine au hata kuabuse dignity yangu then it is Okay.

Lkn again, twahitaji kudefine utu au hiyo dignity; maana nina wasiwasi yaweza isimaanishe kitu kile kile kwa watu wote.
 
Inakuwaje wewe kama mwanamke unahusisha utu/thamani ya mwanamke na material things?

Sasa wanaume sisi tutaonaje?
Hii imetokana na baadhi ya siredi kuongelea sana mtu kitu na si utu wake na mpaka wengine kufikia kuuliza kwa nini ukalale kwa bf na kisha upewe 10,000. Sasa nikajiuliza je thamani ya mwanamke iko kwenye kiwango gani cha pesa kama pesa ndiyo inayotumika kumvalue. Wengine wamefikia kusema thamani ya m/ke inapanda au kushuka kutegemea na physical appearance yake au mahala anapoishi . Kwa nijuavyo mimi thamani yake inategemea na anavyouthamini utu wake na naona Kaunga na snowhite na wengine wameeleza vizuri mno.
 
Last edited by a moderator:
are you implying wanawake wote walioolewa bila bikra ni malaya??
Nope! Mmmmh huko mie sijafika mkuu na wala sijazungumzia hicho labda hukunielewa aisee.
 
Big up FP
Inasaidia nini kuwa na materials zote hizo na kila unapopita watu wanakuangalia kama takataka?
unatoka na yeyote, unalipwa unavyotaka wewe..... ndo unasema upo juu.....
bora nipande daladala nikikatisha mtaani watu wanasema "huyu ndo mwanamke"
 

samani yake kabla ya kuolewa au baada ya kuolewa kama ni kabla mi naona kujiheshimu, kuheshmu wengne na bikra yake tu Ila baada toa bikra
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…