Tabia ikiwa njema wanaume lazima tukutazame tuJamani naomba niliweke sawa hili swala, nikwamba uzuri wa mwanamke sio sura bali ni TABIA, na neno hili ni kifupicha "TAko ni BIdhaa Adim"
na ndio maana wanaume tunajitahidi kugeuza shingo na kuangalia nyuma paletu wadada wanapotupita, nikwamba tunajihakikishia kama kweli Tabia njema ipo kweli kwa hao wadada!!?
Kwahyo basi niendelee kuwasihi wanaume wenzangu endeleeni ku maintain wajibu wenu.
[emoji110][emoji110] mapovu kafulie nguozako za kazi√√
Sent using Jamii Forums mobile app
@mr zero [emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona vilee ukigeuka kuitazama tabia njema ya *miss natafuta*Tabia ikiwa njema wanaume lazima tukutazame tu
CC Zero IQ
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]safisanaTABIA njema ndio kipaumbele changu[emoji23][emoji23]
NOBODY IS TOO BUSY, ITS JUST MATTER OF PRIORITES
Ikumbukwe kua neno TABIA ni ufupisho wa neno ''TA'ko ni BI'dhaa A'dim", sasa sijui unaelewa hapo!!
Naaaam naaaam!! Hayo ndo mambo mkuu, mwanaume ukiwa na kifaa kama hichi unakua unajihisi upo salama kiasiflani, TABIA njema kwanza, sura mbwembwetuPichani Ni mdada akiwa na tabia Njema yake View attachment 1049501
Hahahha. love kuhusu matako unasemaje ?? Tihtihtihhihititihi
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa sauti...Naaaam naaaam!! Hayo ndo mambo mkuu, mwanaume ukiwa na kifaa kama hichi unakua unajihisi upo salama kiasiflani, TABIA njema kwanza, sura mbwembwetu
Sent using Jamii Forums mobile app