Mwanamke sio sabuni, haishi

Mwanamke sio sabuni, haishi

Bora nawe umesema

Unakuta mtu kazi ni kupondea kuwasema wasichana alotembea nao ili iweje .. umefanya yako pita kule nae atafute rizik yakee kuropoka tuuu.... na mnakeraaa hd bx hzo tabia za kikeee ushamba na ulimbukeni tu huo
 
Ndio maana maishani mwangu nimekuwa makini na jinsia ya kiume...siwaamni hata kidogo...
Men do kiss and tell...

Unaweza geuzwa gumzo mtaani bila wewe kujua...kisa huruma ...wanakuja wanajiliza...wakimaliza wanatafuta nani wa kumsimulia...hasa wavulana ...nadhani wanaume hawana hata muda wa kukaa kijiweni...ingawa wakipata muda na wao ni mule mule...

Kuna ma office mate wangu wa kiume ni watu wazima lakini wanaongelea waliokwisha wapitia...tena wengine ni wake za watu...

sa we umepita na mwanamke mkali kama MankaM utakosaje kusimulia.... vizuri kula na wenzio ati, ata kwa story tu kama match hukuwaalika
 
Last edited by a moderator:

mimi huwa sisemi mrembo, ofisi moja hata wadada watano nawafuturu na hawajijui inabakia siri yangu pekee..naja huko huko
 
Ndio maana maishani mwangu nimekuwa makini na jinsia ya kiume...siwaamni hata kidogo...
Men do kiss and tell...

Unaweza geuzwa gumzo mtaani bila wewe kujua...kisa huruma ...wanakuja wanajiliza...wakimaliza wanatafuta nani wa kumsimulia...hasa wavulana ...nadhani wanaume hawana hata muda wa kukaa kijiweni...ingawa wakipata muda na wao ni mule mule...

Kuna ma office mate wangu wa kiume ni watu wazima lakini wanaongelea waliokwisha wapitia...tena wengine ni wake za watu...

Hapo kwenye red, kuwa mwanaume sio umri tuu, wengi unaoweza kudhani ni wanaume ndani yao kuna wavulana na wavulana ndani yao kuna wanaume. Mwanaume anaelewa kuficha siri za mahusiano yake.. Maana lifanyikalo sirini litabaki kuwa la sirini.
 
Mambo ya kujitamba maskani/marafiki zako ni ulimbukeni tu na ukichunguza wenye tabia hizo wengi wao wale walioanza kubalehe muda si mrefu
 
sa we umepita na mwanamke mkali kama MankaM utakosaje kusimulia.... vizuri kula na wenzio ati, ata kwa story tu kama match hukuwaalika

wooiih vizur ule na nani??...........
 
Last edited by a moderator:
Ni ushamba na ulimbukeni tu wakujua pasipo sababu
Misifa ya kijanga kwa binadamu hilo fahamu
Unaweza kujisifu kwa pesa na siyo mademu
 
Ukiona mwanaume anajisifu kwa maswala hayo, anakuwa na sifa nyingi mbaya, lakini me nazijua 2tu. Kwanza team kibamia. Pili. Aliwahi kulawitiwa utotoni. Kwahyo kugonga mademu kwake ni hisani siyo haki yake.
 
Kijana ambae huwa anajisifu sifu mbele za watu ooh yule nimekula huyu kantaka yule nini wengi wao ni NYUKI WA CANTEEN kazi yao kulamba sukari tu hawaumi, utakuta mwingine ni kupita pita na demu tu anaenda na huyu anarudi na yule hao nao ni MAESCORTER tu sio wagongaji!!!!
concluded.....
Tupe sifa za wagongaji
 
Back
Top Bottom