Stamina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,040
- 589
Habari za weekend wana MMU.
Leo nimeonelea tujadili hii tabia ya baadhi ya wanaume, kupenda kukashifu wapenzi/wachumba za watu.
Unakuta mtu una mpenzi/mchumba wako, sasa bahati mbaya au tuseme nzuri kapita rafiki yako na wewe bila ajizi ukamtambulisha kwake ili amfahamu.
Sasa cha kushangaza mara tu baada ya yule mpenz wako kuondoka, jamaa anaanza kashfa/kujisifu "mara ooh, huyu demu nishatembea naye sana tu, tukafanya nae hivi na hivi, nikaingia nae gest fulan na fulani".
Kila mwanamke atakae pita kijiwen yeye lazima ajisifu kama sio kujibaraguza kuwa keshatembea naye, tena mbaya zaidi hata wake za watu, utasikia "huyu usimwone hivi me nishapitia tena kitandani hana lolote".
Akipita mwingine utasikia "huyu alinitaka mwenyewe wala sikumtongoza" sasa kaka, hata kama kweli, misifa yoooote hiyoo ya nini?! Au ndio ulimbukeni plus ushamba?
Asipite mtu na mpenzi wake lazima ajifarague kuwa kesha tembea naye, na mzigo keshakula! Hivi hata kama ulishatembea naye kweli, Umesikia mwanamke ni sabuni anaisha?! Wewe si ulishindwa sasa acha wenzako wale?! Kashfa za nini tena?
Hivi na huyo mkeo/mpenzi wako uliyenaye unajua weshapitia wangapi? Tabia hii ya kukashifu na kujisifu kuwa ushatembea na wapenzi/wachumba/wake za watu ni ushamba au ulimbukeni?