Mwanamke secretary anafaa kumuoa?

Mwanamke secretary anafaa kumuoa?

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Siku zote huwa najiuliza mtu ukimuoa secretary utakuwa na aman kwel na kuifurahia ndoa yako?
 
ngoja nikujibu.... Kwa nini umeuliza hivyo?
 
kwa nini usiwe na amani ata ukimfungia mke wako ndani kama kicheche ni kicheche. mbona wengi wameoa mke ambaye ni secretary na wanaenjoy ndoa. wivu wa kijinga haufai dunia ya leo.acha mwanamke afanye kazi
 
  • Thanks
Reactions: awp
kwani unaoa kazi ya mtu au unamuoa mtu..........dunia ya leo hakuna cha secretary wala teacher,mama wa nyumbani wala mhasibu etc marinda yanafunuliwa kama kawaida tena kiulainiiii kama unavunja biscuit hivyo basi nature ya mtu ndo jambo la msingi la kujiuliza na kuligundua.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mi ni secretary nimeolewa nafurahia kazi yangu na nina ipenda na mume wangu ndo aliyenipeleka shule kusomea hiyo kazi na enjoy na huwa nasafiri na boss wangu kikubwa kujiamini tu mwenyewe na kujitambua kuwa ni nani kingine mimi nikisafiri na boss mume wangu huwa ananifuata niliko sina wasiwasi na hilo kikubwa wewe ondoa dhana potofu uliyonayo
 
  • Thanks
Reactions: awp
pole nadhani una utumwa wa kufikiri
 
una maaninsha hafai kuolewa au unatatizo gani?
 
We oa tu ila kumegewa lazima, awe secretary, nesi au polic au mhasibu, kama n bibi huruma atamegwa tu!
 
I hate watu wa type yako kweli sijui kwanini, KUMBUKA huoi huo u-secretary wake unamuoa yeye, wapo watu wameoa na kuolewa na majambazi, na watu wa style hio but when they are at home they are very good parents than one can imagine. Nina wafahamu madereva wa malori na hata wale wa daladala wenye ndoa takatifu na safi na zenye amani kwasababu wanajua kuwa hizo ni kazi tu. Ukimpata hata Barmaid oa, sio kila barmaid ni mhuni, ni malaya na hafai kuoa.
Natamani kweli ningeiitisha semina kwa vijana, maana naona mnazidi kupotoka kila kukicha, haya kaoe wale wauza madawa ya kulevya, wenye pesa na mitoko ya kila aina.......

CC: ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
kwani unaoa kazi ya mtu au unamuoa mtu..........dunia ya leo hakuna cha secretary wala teacher,mama wa nyumbani wala mhasibu etc marinda yanafunuliwa kama kawaida tena kiulainiiii kama unavunja biscuit hivyo basi nature ya mtu ndo jambo la msingi la kujiuliza na kuligundua.

Asnam; umenifurahisha sana hata mimi nilitaka kuuliza the same question sema umeniwahi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom