hapo Kaizer umesema , ndio hasa ulivyo huo msemo.
mwanamke nyonga makalio majaaliwa ,
nyonga inayosemewa hapa sio muonekano wa kiuno chenyewe , kinachomaanishwa hapa ni ule uwezo wa mwanamke whether ni namba nane ,saba au tisa au moja haijalishi kinachojalisha ni uwezo wake wa kuizungusha hiyo nyonga iwe kwenye muziki au sita kwa sita.
ndo maana wakasema mwanamke nyonga kwa maana kwamba hata usipojaaliwa hayo makalio makubwa unaweza ukajaaliwa kuzungusha kiuno en thats all counts to them, na pia waweza kuwa na makalio kama furushi na pia ukashindwa kukizungusha kiuno.
upo hapo fidel hiyo addiction yako ya kupenda kujiexpress yourself has nothing to do with this statement.
upo hapo fidel hiyo addiction yako ya kupenda kujiexpress yourself has nothing to do with this statement.
hahahhaha shauriooo Tanga kunaniiii watakumaliza waogeshwa na maji ya iliki na mdarasini na vining'iniavyo vyote kuwekwa kwenye kijisahani, ukisema wataka kuondoka kesho nguo zako zote zarowekwa usiku, ikifika asubuhi huna cha kuvaa wapewa msuli tu kisha mtoto analala mapajani, ndo hapo safari ya kwenu inapokuwa mbali kama mweziniHapo umenena umegusa kitu ambacho nilikuwa nashindwa kukigusa kitu kama hicho cha mhimu ni kuzungusha kiuno ndo maana nakwambia nimepata mtoto wa kiuno we acha tu yaani ananirusha vibaya mno ngoja nisimwage mno sifa zake asije Masa au Nyani Ngabu akanipora full maufundi nyonga inanyongwa balaa.
hahahhaha shauriooo Tanga kunaniiii watakumaliza waogeshwa na maji ya iliki na mdarasini na vining'iniavyo vyote kuwekwa kwenye kijisahani
Fidel mhh
wazee wa uviiiiiiiiiiiinza dah kama unakunywa chai vile jamani mnao taka kuoa pelekeni wachumba zenu TA wakafundwe achana na Kitchen Party hizi wizi mtupu.
hahahhahahahha nimecheka mpaka basiii yaaani wewe duh!
Itakuwa Nyonga etii?
Yeah ni katikati ya tumbo na kiuno ambapo mwanamke umbo linagawika na kuwa kama umbo namba 8 umeona nane hiyo ndo nyonga yenyewe inajazia mpaka wanaume wakwale wanatoa mate wakikuona. Vp kwani wewe hukoje?
Unapenda na wewe uvutie? Mchina kaleta mzigo wa madawa unajipaka kitu kinatutumuka tu unakuwa na kalio la ajabu.
wazee wa uviiiiiiiiiiiinza dah kama unakunywa chai vile jamani mnao taka kuoa pelekeni wachumba zenu TA wakafundwe achana na Kitchen Party hizi wizi mtupu.
mkuu Fidel baelezeee.mi nataka nijipata nione itakuwaje..tehhhh
Hehehe nenda hapo Tanga mzee ooh usije ukahamia watu wanajua kupenda bana.
jamani mbona mnatunyanyapaa makabila mengine ,everything ..Tanga...hata mengine yanaweza bwana,embu jaribuni,hivyo viuno gani ya kusifia hivyo,kwanza ukiwa katikati ya shughuli hata hufanyi hivyo,ebo,!!!!
halafu mbona hawo waTanga hawakai kwenye ndoa!!!!
Mhh hao si ndo walifundwa mafiga matatu lol, wizi mtupu hawana lolote jamni vipi Wamakonde teh teh tehe Fidel hujawahi pitia??