Mwanamke niliyeachana nae miaka 5 leo nimemvua tena nguo, nilichokutana nacho sasa nimechoka

Mkuu usikae sana Peke Yako maana sio vizuri kwa watu wenye matatizo yenu
 
Duuuh mwamba una raha .Sisi wengine baada ya kumaliza la saba tu tukakabidhiwa lidunia tuhangaike nalo.Kama nakuona kibabu sasa uko mezani unadonoa tu salad kidogo,matunda kidogo,vijiwali kidogo,minofu kidogo .Friji nalo linakusubiri.Nyinyi ndio mnakula mema ya nchi.
EEX.
Mwalimu wa muziki na mapenzi.
Kwa sasa Kahama,Shy.
 
Noma sana!
Username yake imenikumbusha album ya bingwa wa muziki wa Congo Papaa Fololo Chalz Antwaa Koffi Olomide Quadra Koraman Mopao Mokonzi

Album yake ya Monde Arabe ilijaa vibao vitamu sana

Pia napenda sana nyimbo zake kama Effrakata, Force De Frape n.km
 
Asante mkuu, baba yangu ni mstaafu alikuwa balozi huko Sweden miaka fulani kwa hiyo shida zimenipita kushoto mkuu. Hapa nasubiri bro astaafu uwakili anipe muhuri wake nipigie hela.
 
wew Jamaa unafurahisha

Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
 
Afya ya akili muhimu sana
 
Najuta kusoma Andiko lako wewe ni Mjinga mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…