Mwanamke ni Unadhifu sio nguo nzuri tu na mekapu

ni kweli kabisa huyu dada toka alipokuwa mnenguaji na baadae kupanda cheo na kuwa muimbaji hana scandal yoyote.
ukiacha scandal za kipuuzi kama wenzie...hii kazi kwake ni kazi kama zilivyo kazi nyingine,km ni mpenzi wa Twanga utakuwa unajua namaanisha nini
 
Huyo wa mwanzo (kushoto) ni kama ameandaa masaburi akimsubiri jamaa aanze kazi. Ni mtazamo wangu tu.
 

ndiyo maana kavuta hiyo sketi ili kufikisha ujumbe... Kwani hujui rangi ya mkaa mpaka uulize???????
 
Mzee wa Rula!!!!!??? Macho hayo? Or .... !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…