Mwanamke ni kama pasi!

umekosea siyo mwanamke huyu ni mkaka ila kawaambia ukweli wenzie wote.

kuhusu mkeo kusema asante ni tabia njema ambayo mkeo anayo. iko hivi mwanamke yyte mwenye heshima kwa mumewe basi ni mwingi wa shukuran hata ukimbusu tu atakwambia asante mume wangu na ndivyo inavyotakiwa. hii ni tofauti na hawa wa siku hizi ambao kwao mapenzi ni biashara ukimpa hela ndo anasema asante ila mtombo mzuri hana shukurani.
 

ulazima unaulazimisha wewe, jaribu kupitisha mkeo anga zangu ntamfunda mpaka asante utakuwa unatoa wewe ..............
 
Somo zuri sana Kimbweka. Kama nina mpenzi ambae hili linamhusu, njia ipi nzuri kumfikishia ujumbe bila kumfanya ajisikie vibaya?
 
ulazima unaulazimisha wewe, jaribu kupitisha mkeo anga zangu ntamfunda mpaka asante utakuwa unatoa wewe ..............

KU^#ghbgh()&@ ZAKO unaniambiaje? ningejuaje kama sio reprica ya uzi wako wenye bikira?
 

kama ndivyo basi nitajitahidi kuongeza nyanya, bamia, pilipil kwa mbali, chumvini nitashuka kuchimba, na mengine ili asante iwe shikamoo
 
Specify basi basi ya mkaa ama ya umeme, af usisahau cc ni waTz, maelezo marefu hatusomi yt, nacheki mwanzo na mwisho, cku ingine andika kwa ufupi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…