Mwanamke ni kama maua?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,915
Reaction score
3,748
Anakuwa haraka anapendeza haraka na uzuri wake unaisha mapema. akifika 40 kwa ule aliyeringia masela ataacha maringo naanakuwa mzuri tatizo mda utakuwa umempita. kwa hiyo wadada msituringie sana ss masela maana kuna wakat mtatutafuta ila hamtatuona.
 
Unakuta dada anakuwa akitaka hela tu hana upend wowot mwish wa siku anakimbiwa na wasela wanamchezea
 
Wengine wanadharau sana unakuta mwingn akisem kuwa yeye sio wakutembea na wanaume wachafu
 
Na anakuwa anapokea chochote kinacho jitokeza mbele take😂
 
Na anakuwa anapokea chochote kinacho jitokeza mbele take😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…