Mwanamke na Mtwangio

Mwanamke na Mtwangio

'Kazi ya wanawake ni kutwangwa'

Kuna vitu vyaweza kua kweli katika jamii yako lakini kuvitamka katika jamii nyingine ni ujinga.
Hata kulilia wanawake kwenye jamii yenu ni fresh ila kwetu unaweza pigwa bakora ukikutwa unalilia k
 
Hua mimi nashangazwa sanaa..anaaliwa mwingine anaumia mwinginee ni ujinga wa hali ya juu mnoo,anyway mimi nikichapia siumii kabisaa lakini ukimwaga pombe yangu nakufa na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 Kumbe madee alikuwa sawa. Nani kamwaga pombe yangu😂😂
 
Bro mimi nimeoa na nimelipa mahari...ila furaha na aman yangu ni kubwa kuliko hivyo vimahali hivyo vimahali vinatafutwa tu labda uwe mvivu.....kuna uzi nilisha sema akigongwa wewe nenda kwa dadazake na shangazi zake tembeza rungu ilikumuonesha wewe ni nani....? Sio kwenda kuwaumiza wanawake wengine wasio na hatia.maana mchuma janga hula na wakwao

😂😂😂😂😂Duuuh
 
Hope muwazima...! Mimi bado ninaendelea Kulia na wanaume wenzangu. Sipo hapa kuchochea , au kusema kuvuruga ndoa au kufanya wanaume tuwe wanyanyasaji hapana.

Kusudi langu ni kuwajenga wale wanaume wenye mioyo myepesi waweze kuwa na mioyo migumu ya kishababi na ya kiume ukweli. Sio kama leo hii wanaume tunavyo lia lia na hawa wanawake wasio jielewa.

Naona wimbo kubwa la wanaume kulalamika kuwa wanagongewa na kuanza kujiliza liza humu ni hivi papuchi ya mwanamke ni yake yeye na aina hatimiliki . Kuwa hii papuchi itamilikiwa na mwanaume flani hapana. Hivyo wanaume tuache tabia ya kujimilikisha viungo vya watu .

Mwanaume na akili zako unaanzaje kujimilikisha papuchi ambayo haupo nayo na wala hauna document zozote zinazo kutambulisha kuwa ww ndio mmliki. Yanini kujipa presha kwa mambo usiyo kuwa na uhakika navyo...?

Mwanamke yupo kwa kazi hiyo kutwangwa so acha kujimilikisha vitu ndio maana leo anaweza kuwa mke wa john kesho asubuhi na mapema akawa mke wa juma na sheria zikabariki hilo kwa nini uumie kwa mambo yalio nje ya uwezo wako.....? Kama ilivyo kwa wanawake wa sasa kuishi nasi kwa lengo maalum kwa nini na sisi isiwe hivyo....? Huwezi ukasema unawekeza upendo kumbe mwenzio yupo kwako kwa sababu ya kumlipia kodi ya nyumba huoni kama huu ni uduanzi....?

Na sisi tuishi hivyo tuwe na lengo maalum kwa wanawake yaani kuwe na mwanamke waku mpiga mashine tu bila malengo, awepo wa kutuzalia, awepo wa kutulelea awepo wa kuishi nae ili ngoma ibalance. Maana tumechoka na kulialia humu jf na wanawake wasio jielewa.

Wanaume ifike mahali tujifunze kuishi maisha yetu bila kuwategemea hawa wanawake. Mbona babu zetu waliweza kwa nini sisi leo tumekua mafala sana yaaini imefikia hatua yaani unalipa maha,unagaramia sendoff, unagaramia harusi, yaani kila kitu alafu mwisho wa siku unakuja kumpigia magoti huyo mtu ambaye yeye katika mahusiano yenu amechangia K tu .....? Wewe ni takataka, tunataka kufanya mapinduzi tuachane na huu uduanzi . Men let's stand as a man ...ndio maana mwenyezi Mungu alitupatia misuli migumu, sauti nzito, sura za kutisha na roho ngumu kwa nini tunashindwa kuvitumia tunakwama wapi.......?

Wajibu wa mwanaume
=Fanya kazi.
=Ishi maisha yako.
=Kuwa na msimamo.
=Saidia jamii.
=Penda familia yako kama inapendeka lakini.
=Heshimu kila mtu ila kwa wale ambao watataka wasiheshimiwe na wewe usiwanyime kuwapa wanacho taka.
=Fundisha vijana hasa wa kiume jinsi ya kusurvive katika ulimwengu huu ulio jaa wanawake wasio jitambua.

Ukiweza kuishi hivyo hakika tutaokoa vijana wengi sana na tutarudisha heshima yetu kama wanaume ilio potea na kuchezewa na wanawake wasio jielewa.


Happy Friday everyone......!
Wanaume wengi wakisha oa husahau na kuamini kuwa mwanamke ni ndugu. Kosa kubwa. Mwanamke ni rafiki wa karibu na urafiki unaweza kudumu au kufa.
 
Ushauri wa bure kwa mwanaume, usije kuthubutu kujitoa uhai wako kwasababu ya kutendwa na mwanamke

Kwasababu siku ya mazishi yako atakuja na danga lake makaburini, imenitokea kama mara tatu hivi
Hiyo mara tatu kuja na danga lake kaburini au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom