Kwahiyo wanaume mnanyoosha miguu mkisubiri muambiwe fanya hivi au vile! Hivi hamuwezi kuwa wanaume bora bila wanawake kutumia hiyo power? Mtu mzima tena above 25 unataka uwekwe vipi sawa! Badilikeni wenyewe, msitumalizie nguvu zetu za kike jamani.
Mithali 14:1 " Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"Kwahiyo wanaume mnanyoosha miguu mkisubiri muambiwe fanya hivi au vile! Hivi hamuwezi kuwa wanaume bora bila wanawake kutumia hiyo power? Mtu mzima tena above 25 unataka uwekwe vipi sawa! Badilikeni wenyewe, msitumalizie nguvu zetu za kike jamani.
Wanawake wote wana uwezo mkubwa sana juu ya wanaume tatizo kubwa wanawake wengi wameshindwa kutumia uwezo wao na ushawishi wao kuhakikisha anamuweka mwanaume sawa na kufanya vile anapenda kwa sababu hawajifahamu, Hapa ninazungumzia kufanya yale ambayo mwanamke anaamini mume wake anazembea kama vile kuweka mahusiano katika mstari sahihi.
Bottom line ni kwamba, mwanamke anao uwezo mkubwa ktk kuvumbua kilichomo ndani ya mume wake na kwamba mwanamke akitumia uwezo wake ambao Mungu amempa kuhusu mume basi anaweza kujenga mahusiano na ndoa inayoridhisha.
Wapo wanawake wengi kila kukicha wanalalamika, mume wangu, mume wangu, acha kulalamika, tumia uwezo wako wa kuwa mwanamke kumsaidia mume kuwa mume bora ktk ndoa kwani Mungu amekupa uwezo wa ajabu ndani yako kiasi kwamba mume yeyote anaweza kukubali kile mke anasema pale mke akitumia uwezo wake sawa na Mungu alivyompa.
Kauli yako ni kitu muhimu sana ktk mustakabali wa kulijenga au kulibomoa penzi lenu.
{Kuna usemi kwamba: "A man's wife has more power over him than the stale"
Mithali 11: 22 "Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili"huwa sielewi kwa kweli, hivi mwenye jukumu la kulinda penzi ni mwanamke tu? ndie anaenufaika sana na mapenzi au nini, msituchoshe bana ukiona sio type yako chagua mwingine
Kwahiyo wanaume mnanyoosha miguu mkisubiri muambiwe fanya hivi au vile! Hivi hamuwezi kuwa wanaume bora bila wanawake kutumia hiyo power? Mtu mzima tena above 25 unataka uwekwe vipi sawa! Badilikeni wenyewe, msitumalizie nguvu zetu za kike jamani.
huwa sielewi kwa kweli, hivi mwenye jukumu la kulinda penzi ni mwanamke tu? ndie anaenufaika sana na mapenzi au nini, msituchoshe bana ukiona sio type yako chagua mwingine
Mithali 14:1 " Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"
Mithali 12: 15 " Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe: Bali aliye na hekima husikiliza shauri"