Wanapenda wa kuwatumia tu sio kwa ndoa...wengi wanaoolewa ni wa kawaida sana...Sawa mkuu ngoja nikuambia siku hizi wanaume wanachokipenda ni makalio makubwa na sura nzuri basi ukiwa na hivyo vigezo ata ukiwa ni mtoto wa shetani lazima upate mume kwasababu ndio wengi wanaume wanaopenda hivyo vigezo
Ila kuna ukweli hapaWanapenda wa kuwatumia tu sio kwa ndoa...wengi wanaoolewa ni wa kawaida sana...
dooh mkuu hujaoa mbishi weweI swear , mimi mwanamke asosali wala kua nahofu na Mungu.
Huyo ni wakusogezea siku tuuu lkn kuoa ? Weee lazima awe mcha Mungu.
Niivo kwasababu tu Mwanamke ndo mlezi wafamilia, mwanamke ndo ataamua tabia za watoto ziweje,, sasa eti nije nibebane namtu atakayefanya wanangu wawe na akili za kishetan, mtoto anamiaka mitano anajua kila aina ya pombe??? .
Hapana!!! Never !! ...... Watanisamehe tu ,kusogeza siku niruksa lkn kuanzisha familia NISHARITI AWE VILE NINAVYOTAKA KINYUME NAHAPO AJIOE MWENYWE AU ASUBIRI CHAPOMBE MWENZAKE AMUOE .....veri simpo tuu[emoji23][emoji23]
Mhhhhhdooh mkuu hujaoa mbishi wewe
Asante mkuu ..maisha ni uchaguzi..namachaguzi sahihi niyale yakupayo amani katika kila nyanja.Hongera mkuu
Mkuu ninasali na ninahofu na Mungu ,kwamaana hiyo ndege wanaofanana ndio huruka pamoja.Mkuu na wewe unasali na una hofu ya Mungu? Maana kila mwanaume anapenda mke anayesali...
Ila wanaume wengi wana mioyo migumu...kuamini...hawapendi kusali..
Sijaoa bado mkuu .. Natoa muda wa mtu kubadilika nakua vile navyotaka.dooh mkuu hujaoa mbishi wewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] chapombe kwani hajui kutunza familia!I swear , mimi mwanamke asosali wala kua nahofu na Mungu.
Huyo ni wakusogezea siku tuuu lkn kuoa ? Weee lazima awe mcha Mungu.
Niivo kwasababu tu Mwanamke ndo mlezi wafamilia, mwanamke ndo ataamua tabia za watoto ziweje,, sasa eti nije nibebane namtu atakayefanya wanangu wawe na akili za kishetan, mtoto anamiaka mitano anajua kila aina ya pombe??? .
Hapana!!! Never !! ...... Watanisamehe tu ,kusogeza siku niruksa lkn kuanzisha familia NISHARITI AWE VILE NINAVYOTAKA KINYUME NAHAPO AJIOE MWENYWE AU ASUBIRI CHAPOMBE MWENZAKE AMUOE .....veri simpo tuu[emoji23][emoji23]
Sasa mkuu ,mimi sizungumzii wanafiki, wafanyao ujinga alafu siku za ibada wanajitia watakatifu sanaaa, nawaivo hata akiniigizia mimi nitamjua tuuu nabado nitaachana naye tu hamna namna.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] chapombe kwani hajui kutunza familia!
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] wengine walevi na church km kawa
Wanawake waongo sanaSasa mkuu ,mimi sizungumzii wanafiki, wafanyao ujinga alafu siku za ibada wanajitia watakatifu sanaaa, nawaivo hata akiniigizia mimi nitamjua tuuu nabado nitaachana naye tu hamna namna.
Chapombe baba, chapombe mama...watoto watakuaje ??? Mchungwa utazaa machungwa ...unakuta familia wazaz wote ni chapombe ,basi izo vuruguuuu .
Mimi hapana kwakweli, ndomaana nmesema waivo kwangu nikusogeza siku, and yes Mwanamke ukiwa mnywa pombe ,alafu ikatokea tumekua wote, nikajua unakunywa ,naww ukajua nmekujua, alafu ukawa huna jitahada za kuacha.... My dear kuna mawili
Ujishtukie tu uendelee na laifu lako
Au ubaki nikutumie tutumiane, baadae nikutumie kama ushuhuda siku nikiwa nafunga ndoa na binti wawatu mpendwa.
Uvalishe nguoHuu ukweli umeuacha uchi
Ukiveshwa nguo ndio unakua uongoUvalishe nguo
Haha kwakweliUkiveshwa nguo ndio unakua uongo
[emoji16][emoji16]Haha kwakweli
Kama mimiI swear , mimi mwanamke asosali wala kua nahofu na Mungu.
Huyo ni wakusogezea siku tuuu lkn kuoa ? Weee lazima awe mcha Mungu.
Niivo kwasababu tu Mwanamke ndo mlezi wafamilia, mwanamke ndo ataamua tabia za watoto ziweje,, sasa eti nije nibebane namtu atakayefanya wanangu wawe na akili za kishetan, mtoto anamiaka mitano anajua kila aina ya pombe??? .
Hapana!!! Never !! ...... Watanisamehe tu ,kusogeza siku niruksa lkn kuanzisha familia NISHARITI AWE VILE NINAVYOTAKA KINYUME NAHAPO AJIOE MWENYWE AU ASUBIRI CHAPOMBE MWENZAKE AMUOE .....veri simpo tuu[emoji23][emoji23]
Kweli,au unaweza ukaua mtu kama yule jamaa wa mkurangaKweli Ulimwengu wa sasa kuoa mwanamke asie na hofu ya Mungu ni kujitafutia kifo mapema sana.....
Kuna jamaa anataka kujiuwa kisa mtoto siyo wake watu wengine vimeo sanaKweli,au unaweza ukaua mtu kama yule jamaa wa mkuranga