Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,646
- 4,489
Asante mkuukweli kabisa upp sahihi
Sawa sawa hongera kwakuiona iyo.Ukweli mtupu
Hongera mkuuI swear , mimi mwanamke asosali wala kua nahofu na Mungu.
Huyo ni wakusogezea siku tuuu lkn kuoa ? Weee lazima awe mcha Mungu.
Niivo kwasababu tu Mwanamke ndo mlezi wafamilia, mwanamke ndo ataamua tabia za watoto ziweje,, sasa eti nije nibebane namtu atakayefanya wanangu wawe na akili za kishetan, mtoto anamiaka mitano anajua kila aina ya pombe??? .
Hapana!!! Never !! ...... Watanisamehe tu ,kusogeza siku niruksa lkn kuanzisha familia NISHARITI AWE VILE NINAVYOTAKA KINYUME NAHAPO AJIOE MWENYWE AU ASUBIRI CHAPOMBE MWENZAKE AMUOE .....veri simpo tuu[emoji23][emoji23]
Ni kweli chiefUpo sahihi Mkuu!ila wamekua wachache sana!
Nawajua vizuri kuliko ata wewe unavyowajuahaya! Tema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa! Humjui mwanamke vizuri wewe
Kama wewe au?mwanamke mzuri ni mwenye sura nzuri bc
Mkuu na wewe unasali na una hofu ya Mungu? Maana kila mwanaume anapenda mke anayesali...I swear , mimi mwanamke asosali wala kua nahofu na Mungu.
Huyo ni wakusogezea siku tuuu lkn kuoa ? Weee lazima awe mcha Mungu.
Niivo kwasababu tu Mwanamke ndo mlezi wafamilia, mwanamke ndo ataamua tabia za watoto ziweje,, sasa eti nije nibebane namtu atakayefanya wanangu wawe na akili za kishetan, mtoto anamiaka mitano anajua kila aina ya pombe??? .
Hapana!!! Never !! ...... Watanisamehe tu ,kusogeza siku niruksa lkn kuanzisha familia NISHARITI AWE VILE NINAVYOTAKA KINYUME NAHAPO AJIOE MWENYWE AU ASUBIRI CHAPOMBE MWENZAKE AMUOE .....veri simpo tuu[emoji23][emoji23]
AmenMithali 31: 10-30 Mke mwema nani awezaye kumwona?
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili, Bali mwanamke amchae Bwana ndiye atakayesifiwa
Acha uongo siyo kila mwanaume anapenda mwanamke anaye sali futa kwanza hiyo kauli tuende sawaMkuu na wewe unasali na una hofu ya Mungu? Maana kila mwanaume anapenda mke anayesali...
Ila wanaume wengi wana mioyo migumu...kuamini...hawapendi kusali..
Maneno yangu siyo sheria...unaweza ukafuta kimyakimya...Acha uongo siyo kila mwanaume anapenda mwanamke anaye sali futa kwanza hiyo kauli tuende sawa
Sawa mkuu ngoja nikuambia siku hizi wanaume wanachokipenda ni makalio makubwa na sura nzuri basi ukiwa na hivyo vigezo ata ukiwa ni mtoto wa shetani lazima upate mume kwasababu ndio wengi wanaume wanaopenda hivyo vigezoManeno yangu siyo sheria...unaweza ukafuta kimyakimya...