Mwanamke mwenye mwanya! (udhaifu wangu ktk mapenzi)


we sema umejisikia kumsifiA mkeo hapa jf na huenda ni member. Tabia ya mtu na mwanya wapi na wapi?
 
M mkewangu anamapengo nimuweke kundi 1 na huyo wako, mkaribishe usim banie bana.
 
Hahahahahaha inaelekea anatafuta sababu ndogo ya kuwasifia watu. Which is good I guess. Haina tofauti sana na ile wasichana wa kabila fulani ...

Hhmm..hmmm..mmmh!!
Nyw njoo bana kabla sijasinzia...nimechoka balaa!
 
je wenye mapengo maana mwanya mwingine umekaa utadhani ni pengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…