Wakuu salaam.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume hajafa..na mtoto pia yupo ila yupo kwa baba yake?
NB: Mwanamke anasema kwa mwanaume huyo hakuna future na sio mtu ambaye anaweza kuishi naye. Anafanya mpango wa kumchukua mwanae na ikishindikana basi atamuacha huko..akiwa mkubwa atatamtafuta. Mpaka sasa watu wa upande wa baba wa mtoto hawataki mtoto achukuliwe.
^^
Mtoto wa jinsia gani ambae akikua atamfuata? Future ipi anayosemea? Pato lako la yule mwingne likoje?
Nisaidie majibu hapo
^^
Wakuu salaam.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume hajafa..na mtoto pia yupo ila yupo kwa baba yake?
NB: Mwanamke anasema kwa mwanaume huyo hakuna future na sio mtu ambaye anaweza kuishi naye. Anafanya mpango wa kumchukua mwanae na ikishindikana basi atamuacha huko..akiwa mkubwa atatamtafuta. Mpaka sasa watu wa upande wa baba wa mtoto hawataki mtoto achukuliwe.
Hakuna ubaya wowote uliopo kuoa mwanamke mwenye mtoto maadamu mnapendana.
Lakini mwenye mtoto ataendelea kugegeda mamatoto kama zamani.
Kama hiyo siyo shida kwako, basi unaweza kumuoa huyo mama mtoto.
Hawana uhusiano wa kimapenzi tena.
Inategemea na akili,msimamo na uwezo wa mwanamke kuchanganua mambo!!!!
Mwanaume pia ina mchango katika hilo sababu wewe ndio nguzo ya huyo mwanamke so ukikomaa na kama yeye ana dhamira juu yako mnaweza ishi! !!!!Ila changamoto zipo
Ila kama huyo mwanamke ana lengo tu la kutaka kumuonesha mzazi mwenzie kuwa "yeye bado wamo" hapo mkuu utaliwa!!!!!
Ila kama huyo mwanamke ana lengo tu la kutaka kumuonesha mzazi mwenzie kuwa "yeye bado wamo" hapo mkuu utaliwa!!!!!
Hakuna shida ilimladi mmependana unamuoa tu kilichopo yule aliezaa nae inabidi aheshimu maamuzi si tena aanze kutaka kukumbushia mambo fulani hapo ni kuonana wabaya tu.
mh! ngoja lakini...wewe wasiwasi wako ni nini hasa?
Mtoto ni jinsia ya kike miaka mitano. Future anayoisemea ni tofauti za kidini na mengineyo ambayo hayaelezeki. Kipato yule mwingine yupo juu kuliko mimi.