Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Na yeye ni srepa so wanaoane ma srepa
Hahhhhahhhahhha we nomaaaa
Na yeye ni srepa so wanaoane ma srepa
suku huria la poda limewaharibu sana hawa vijana.
Mkuu unajua tafsiri ya Shugamami? Mimi sihitaji sugar mammy, nahitaji mwanamke mtu mzima. Hujapasuliwa kichwa bado wewe, sina uhakika wewe ni me au keHuwezi kuwa na mali zote hizo bado ukang'ang'ania kwa Sugar Mammy, hiyo akili ungeitumia kutafuta kijana mwenzio.
Mkuu unajua tafsiri ya Shugamami? Mimi sihitaji sugar mammy, nahitaji mwanamke mtu mzima. Hujapasuliwa kichwa bado wewe, sina uhakika wewe ni me au ke
Changamkia fursaaa
Hujambo mwanangu? Umesemaje? Hebu rudia tena...!!
koma weeeKwahiyo unataka kusema na Mtume Mohamad alihalibiwa na soko huria kwa kupuliza poda alipoamua kumgegeda bi.hadija?