Mapenzi Basi
Member
- Mar 29, 2014
- 10
- 1
natafuta mwanamke wa kuoa awe kati ya miaka40 na kuendelea mpaka 50,awe dini yeyote mimi nina miaka 25 nipo temeke sudan kama upo sirious tafadhali usichelewe namba hii0779293189,akipatikana ni ndoa tu.
suku huria la poda limewaharibu sana hawa vijana.Hivi vijana wa siku hizi wamekosa nini hadi kuoa mama zao?
Aisee!!!!!!!
Hujambo mwanangu? Umesemaje? Hebu rudia tena...!!
Una mdomo wa zege kwa vijana wenzako ?
Si kweli! Si kila mtu anaetaka Mwanamke aliemzidi umri basi ni domo zege au ana mapungufu financially, assumptions za namna hii ni mbovu kwa sababu wasichoelewa wengi ni kuwa mwanamke mtu mzima amepitia vingi, anajua mengi, ana hisia za dhati kama akipenda na si mshamba kama walivyo baadhi ya wanawake wenye umri mdogo au wa kati ambao hawana uzoefu wa maisha.
Mimi nikimpata namchukua na nitamlea mimi na si kwa sababu ni tegemezi ila mapenzi, na nitamlea Mimi coz najimudu; Nimewekeza kwenye Bar kadhaa upande wa jikoni, nina biashara za M-pesa, Tigopesa, Airtel Money, Nina Maduka ya vyombo na nguo, hizo ni baadhi ya biashara nilizonazo ukiacha mali ninazomiliki ambazo sitazitaja na zisizo za biashara, sidhani kama naweza kuwa tegemezi kwa mtu na umri huu.
Kwa hiyo wakuu, hayo ni mawazo ambayo si ya kuyazingatia sana.

Unaoaa skrepa