Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,885
Acha uzembe. Mwanamke ameumbwa kumtii na kumburudisha Mwanamke. Kutafuta rizki sio kazi ya Mwanamke
Maisha kusaidiana mkuu..hahahaAcha uzembe. Mwanamke ameumbwa kumtii na kumburudisha Mwanaume. Kutafuta rizki sio kazi ya Mwanamke
Asante....kwann lkn unasema hvoBora anae kuheshimu
Hahahaaa duuuhMaisha magumu Mkuu! Chukua mwenye uwezo na hakikisha unampiga mimba mfululizo, dharau ataacha tu.
Bhc kaz IPO kwelkweli maana kuna nidhamu za woga mjini SKU hzhapo kuna utata unajua kuna mtu anakuheshimu sana japo hana pesa yoyote kila kitu unamfanyia na yy anakupa kile unachostahili kwa muda ni kwa sababu ya uchumi wake lakini akipata hela kidogo utashangaa hutaamin ka ni yy
NB sio wote
Heshima ni moja ya nguzo katika ndoa na wanandoa wanaoheshimiana basi ndoa yao ikuwa endelevuAsante....kwann lkn unasema hvo
Kwenda na wakati si jambo baya ila ni changamoto kwa kweli. Ila swali lako ni zuri ila mke mzuri ni mke mwenye uelewa, heshima, hekima, busara na aliyefundwa na akafunzika. Pesa si kitu kama hekima, heshima, busara, uelewa na nk. Ktk maisha ya mwanadamu.HV kati ya kuwa na mwanamke mwenye uwezo wa kutengeneza kipato chake mwenyewe ila hana heshima kivile,ana dharau yaan kukufokea haoni tabu ...na kuwa na mwanamke ambaye yy fedha hana na uwezo wa kutengeneza fedha n changamoto mpk umuwezeshe kisawasawa ila kizur chake n kwamba anakuheshimu sana tu yaan hana nyodo au lugha mbovu zszofaa.....
Yupi n mzuri kuoa kwa maisha haya ya saiv jmn....