Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
kuwa nae ndio utajua
OhooooHayo macho dahhh kama ananiona mimi
TrueKama hazichanyi upstairs ni bure tu
Nice point dda [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Na weupe wa dukani n tofauti Na ule alisia believe me
Woooooh nice broMke mwema mtu hupewa na Mungu.
Sali tena sali sana, Mungu akupe wa kufanana nawe maana dunia ya leo sio salama tena
Mmmmmmh [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tatizo hata ukiwa na mwema hujui kama ni mwema hadi siku akiondoka.....komaa na huyo huyo ulonae
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Mke mweema anatoka kwa bwana,
Nimemwoomba mungu nangojea,...
Mke mweema anatoka kwa bwana,
Nimemwoomba mungu nangojea mke mwema aah..[emoji445]
Mmmmhkuwa nae ndio utajua
Kweli MkuuTatizo hata ukiwa na mwema hujui kama ni mwema hadi siku akiondoka.....komaa na huyo huyo ulonae
Aya ahsante mkuuKweli Mkuu
Thank youNice point dda [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
PouwThank you
Aliecheka [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mke mwema ni yule Aliyeachika!!!!si anatoka kwa bwana!!
Sorry, mie ni jike la mbeguWoooooh nice bro
Sawah sawah sorry [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sorry, mie ni jike la mbegu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]it takes time kumjua..ila wapo..
eg. hata mimi namtafuta huyo mwema nianze nae 2017.
Nimekuwa singo kwa muda mrefu sana mpaka najishangaa...
ila kuna hivi vitu 3;
1. Sura nzuri
2. Umbo la kuvutia(shape)
3.Tabia njema.
hapa ni vyema kujua kipi kinaanza na vingine badae...
akiwa navyo vyote basi shukrani zimwendee Muumba..
ila ni kheri kuwa na mwanamke mwenye tabia njema ukaishi nae kwa amani,uaminifu na upendo hata kama sura na umbo lake havivutii sana,kuliko kuwa na mwenye sura nzuri na umbo linalovutia lakini tabia yake ikawa kinyume cha uaminifu,upendo wa dhati na amani,,,,
Nice [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hakuna criteria, utadanganywa. Mwanamke mwema ni kuridhia kwa moyo wako. For that case, any woman can be.