S samweli2014 Member Joined Jun 9, 2017 Posts 5 Reaction score 3 Jun 10, 2017 #1 Natafuta mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha karibuni sana.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Jun 10, 2017 #2 Wanawake Mnaotaka kufunga pingu na jamaa mje huku
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Jun 10, 2017 #3 Mentally ill my friend
gbefa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 3,807 Reaction score 15,846 Jun 10, 2017 #4 Mkuu unatafuta mke kiraisi hivyo... Naomba uje na mrejesho ukipata aisee.. Over
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,639 Jun 10, 2017 #5 Mkuu ungewakea na detail ili kuwakamata vizuri
mis lemich JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 207 Reaction score 176 Jun 10, 2017 #6 Wasifu wako vipi....mkuuuu
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,568 Reaction score 29,663 Jun 10, 2017 #7 KWA MARA YA KWANZA NITAZISHUHUDIA PINGU ZA MAISHA MAANA SIKU ZOTE NAJIULIZA KUHUSU HIZO ZA MAISHA ZIKO VIPI JE KAMA ZA POLISI AU???!!!
KWA MARA YA KWANZA NITAZISHUHUDIA PINGU ZA MAISHA MAANA SIKU ZOTE NAJIULIZA KUHUSU HIZO ZA MAISHA ZIKO VIPI JE KAMA ZA POLISI AU???!!!
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jun 10, 2017 #8 Udomo zege ni taabu
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,281 Reaction score 7,953 Jun 10, 2017 #9 kwa uandish huu ata akijitokeza huyo mwanamke c utakimbia ww